Msani wa muziki wa Hip Hop
DARASA atashusha bonge la Shoo nchini Burundi''
NEW FLEVA CONCERT'' akishirikiana na wasani nguli kutoka nchini humo kama:
B-Face,Rally Joe,Masterland,Magic Kingorongoro,Chany Queen,Jeez B.Msamalia na Famous.Tamasha ilo nimeandaliwa la kampuni ya
TREIBEKA HILL TOPTEN.
Wakazi wa Bujumbura ,mkoani Rumonge na mkoani Ngozi mmealikwa kwenye Tamasha hiyo.
BUJUMBURA atakuwepo tare 08 Apr 2017(Scheppers Stadium)
RUMONGE atakuwepo tare 09 Apr 2017(Izere Stadium)
NGOZI atakuwepo tare xvi Apr 2017(Kugasaka Stadium)