Download Mp3 from African

Darassa alivyopokelewa Airport Republic of Burundi akitokea nchini Tanzania


Mwana hip hop Darassa wa Bongo Flava, Apr 07, 2017 aliwasili nchini Republic of Burundi kwa mara yake ya kwanza kwa kukamilisha present iliyopangwa Apr 08, 2017.

Mkali wa Muziki, alipokelewa kwenye uwanja wa ndege Bujumbura na mashabiki wengi, kabla hajatua uwanja wa ndege tayari kulikua na kundi kubwa la watu waliofurika wakiimba mda wote na kushangilia huku wakijaa na furaha kama inavyoonekana kwenye picha.

Back To Top