Download Mp3 from African

New Audio| Amahunja Music_Burundi Buhire| Mp3 Download


Kundi la muziki ya Republic of Burundi Fleva kutoka mkoani Gitega, Amahunja Music imeachia wimbo wao mpya uitwao Burundi Buhire, kazi hii imetengenezwa na Masterland wa Master Music.

Nimekusogezea karibu hapa kuwa wa kwanza kuipakua, kama na wewe ni msanii una well na video na unapenda ipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.

Back To Top