Msanii wa muziki wa Burundifleva Master Key ameachia wimbo wake mpya uitwao N'iki Wankundiye ( Umenipendea nini), imetengenezwa na Kolly the Magic wa Master Music.
Nimekusogezea kazi mpya karibu kuwa wa kwanza kuipakua hapa, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.