Baada ya kufanya vizuri na video ya ''Sina Lawama'' iliomjengea headlines nyingi barani Afrika ,sasa
Kebby Boy akishirikiana na
Black G hitmaker wa ''Sivyiza'' wameachia bonge la ngoma liitwalo ''
MOYO''.Ngoma hii imeongozwa na Producer CHIDY wa Zenges Record.