Wasani wa muziki Stikk na Lacia ambao inasemekana kwamba wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi ,wameachia wimbo mpya ''Sensual Connection''.
Kwenye ngoma hii wameshirikiana na Miss Erica.
Wimbo umeongozwa ndani za studio za Master Muzik.
Download Mp3 from African