Download Mp3 from African

Yatazame hapa matokeo ya mtihani wa Form Two 2016 na Darasa la nne 2016

Leo Jan xv 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form ii 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’  >>>FTNA 2016
Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>>SFNA2016
Tag : lainnya
Back To Top