Mwanasheria wa #WemaSepetu, #AlbertMsando amefunguka kwa kudai kuwa kuna watu hawakupenda yeye kumsaidia kisheria muigizaji huyo wa filamu ambaye hivi karibuni alishikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake pamoja na makosa mengine.
Mwanasheria huyo aliamua kumsaidia kisheria muigizaji huyo pamoja na wenzake na Feb 9 malkia huyo wa filamu alipata dhamana.
Baada ya tukio hilo mwanasheria huyo amedai kuna watu hawakupenda yeye kumsaidia malkia huyo wa filamu.
#AlbertMsando “Have yous e'er had a sis who is the contrary of you? H5N1 friend who yous tin give the axe non explicate why he or she is your friend? I have. Having a one-on-one amongst Wemasepetu. Kuna watu wameongea walichoongea. Wamekasirika kumsaidia Wema,” aliandika mwanasheria huyo Instagram.
Aliongeza“Ila ukweli unabaki kwamba Wemasepetu has her following. I must tell yeye kama ilivyo mimi na wewe sio mkamilifu. She has her percentage of mistakes. And failures. But she is non a bad person. She has a especial heart. Her accuse is “to move establish inward possession of pocket-size sum of narcotics drugs normally known equally bhangi. 1.85gms” zippo serious. Kweli au si kweli ni kazi ya Mahakama. Kwa hiyo kwa wale ambao wameamua kupigana vita kwa kuniattack I am leaving it to them. For me all I cause got to create is, guide her to beingness improve in addition to realising her total potential. Thats non law. Thats friendship.
Tag :
lainnya