Download Mp3 from African

New Audio | B-Bright_My Valentine| Download mp3


 Msanii wa muziki wa Burundifleva, B-Bright baada ya kutamba na kibao chake Nisamee Akapelyna na kutambulika kila kona ya nchi kwasasa anakuja katika lugha ya taifa (Kirundi), wimbo wake mpya inabeba jina la My Valentine chini ya mikono ya producer Chidi pande za Zenges Record Studio.

Leo nimekusogezea kazi nzuri ya Kwake B-Broght, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.
Back To Top