Sikiliza kazi nzuri kutoka kwa msani wa muziki Wind Divin ambae kwasasa anazichapa kazi zake za muziki nchini USA ,ngoma inaitwa ''Fall In Love''.Kwenye ngoma hii Wind Divin ameshirikiana na Akes Don hitmaker wa ''KIZUNGUZUNGU''.
Wimbo umeongozwa na Soprano wa AFRICAN TOUCH.
Wimbo umeongozwa na Soprano wa AFRICAN TOUCH.