Timu ya taifa Intamba Murugamba (Burundi) imeitambia Djiboutie mvua ya magoli(7-0) katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Mwanamfalme Prince louis Rwagasore, Machi 11, 2017 saa tisa kamili.
Katika dakika xxx tu timu ya taifa Intamba imepata bao la kwanza kupitia mchezaji Sudi Ntirwasa akizawadiliwa kwa kona nzuri kutoka kwa Kiza Fataki. Bao la pili imetiwa golini na Claude Ndarusanze kataika dakika 33 baada ya kuzawadia pasi nzuri kutoka kwa Sudi Ntirwasa.
Baada ya dakika mbili tu mshambuliaji hatari Tresor Ndikumana aliifungia timu yake ya taifa bao la tatu akizawadiwa pasi nzuri sana kutoka kwa Claude Ndarusanze.
Kutokana na bao tatu katika kipindi cha kwanza, timu ya taifa Intamba Murugamba ilirejea uwanjani kuanza kipindi cha pili wakiwa na imani kama watashinda mchezopambano hiyo.
Bila kuchelewa Claude Ndarusanze aliweza kuifungia nchi yake ya Republic of Burundi bao lake la pili dakika la 48 na kuipelekea timu yake ya taifa kuongoza na bao nne bila jibu ya Djiboutie.
Dakika la l naodha wa timu ya taifa Gael Duhayindavyi aliweza naye pia kufunga bao la tano, mshambuliaji Bonfils Caleb Bimenyimana ambae alitumia mda wake na kufunga bao la sita dakika 73.
Imesalia dakika nne za mwisho wa pambano, Tresor Ndikumana alitumia mda huwo nakukamilisha kufunga bao lake la tatu na kupelekea timu yake ya taifa kuibuka mshindi wa bao saba bila ya Djiboutie.
Tuwakumbushe kwamba mchezaji Tresor Ndikumana ndie aliyeonekana mchezaji bora wa mechi kwenye pambano hiyo ambae alitumia dakika 94 na kuakikisha kuifungia nchini yake bao iii katika bao saba.