Msani wa muziki kutoka Republic of Burundi Chris Dizzo mwenye makazi yake nchini Afrika kusini mjini Johannesburg ambae ndoto zake nikuona muziki wa Republic of Burundi upo kiamataifa zaidi ,ivi punde ataitambulisha video ya Remix ya wimbo yake ''We ndo Wangu'' aliowashirikisha wasani wawili mmoja kutoka Nigeria Victor B na Mash Sarila kutoka South Africa.
Chris Dizzo amesema: ''video na Audio vipo tayari imebaki tu kazi ya viongozi wangu kuweka uraiani kazi hiyo,kwaio mashabiki wasubiri kazi nzuri ya kimataifa zaidi''.Chris Dizzo kwasasa yupo chini ya management ya kampuni kubwa nchini South Africa ambayo adi sasa hajapenda kuwekawazi jina la management hiyo.
''Muda utapofika nitaweka wazi management yangu ambao kwasasa tumesha maliza mikataba yote,subirieni punde nitawajuza'',amesema Chris Dizzo.