Msanii wa muziki wa Burundifleva K-Peace ameachia wimbo wake mpya ukibeba jina la She Influenza A virus subtype H5N1 Foreign akishirikiana na Punda Serge ambae ndie producer wa wimbo hu.
Nimekusogezea kazi nzuri ya kwake K-Peace hapa kuwa wa kwanza kuipakua, kama na wewe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.