Kundi la Filamu ya Republic of Burundi Movie, The Future Salumu Films, inatarajia kuachia filamu yawo mpya ikibeba jina la Haguruka Ukayangane chini ya uongozi na utayarishaji wa vijana wawili Salumu Jimmy na Fariji Alain.
Haguruka Ukayangane Filamu nzuri ya Kirundi inayoelimisha jamii na kuburudisha, imechezwa na na waigizaji mahiri nchini, itakuwa madukani hivi punde usikose kujipatia CD yako.
Tulikutana na waigizaji wakiwa katika zoezi la kurikodi filamu mpya inayoitwa Haguruka Ukayangane, Kiongozi wa Kundi Bulambo Stefano alifunguka bila hofu yoyote nakusema kuwa amepania kuiteka soko la filamu nchini na kufanya kazi nzuri zenye viwango vya kimataifa.
amesema amepania kuteka soko la filamu nchini kwa kufanya kazi nzuri zenye viwango vikubwa sana amesema filamu hiyo amecheza na wa
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

amesema amepania kuteka soko la filamu nchini kwa kufanya kazi nzuri zenye viwango vikubwa sana amesema filamu hiyo amecheza na wasanii
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap