Download Mp3 from African

Kizuri chajiuza na pia chajitangaza Video ya ''KIZUNGUZUNGU'' imempa shavu Akes Don

Baada ya kufanya vizuri na Video ya ngoma yake mpya ''KIZUNGUZUNGU'' alioshirikiana na Happy Famba na ikaongozwa na Director Brian Smith ,sasa ngoma hiyo imempatishia management kubwa kutoka nchini Norway.
Akizungumza na mwandishi wa Mishe Mishe Media ,Akes Don amesema:''Ni kweli nimepata management kutoka nchini Kingdom of Norway na ivi punde nitasafiri ili tusaini mkataba wetu wa kikazi zaidi''.
''Nitaweka wazi jina la management yangu nikikamisha mpango mzima na kusaini.''Aliongeza ilo Akes Don.
Kwasas msani huyo amejiunga na mitandao mingi ya kuuza muziki wake(Mkito.com,Ngomma...)
Nakama bado hujaiona video ya ngoma yake iyo ,usisumbuke nimekuwekea nayo apa chini...

Back To Top