Msanii wa muziki wa Burundifleva Mh Ram mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, hivi karibuni ametangaza kurudi rasmi kwenye muziki baada ya ukimya mda mrefu.
Msanii Mh Ram amesema ukimya wake kwenye muziki umesababishwa na mabadiliko ya muziki na mda wote alikua anaisoma muziki na siyo kwamba anafanya muziki wa kurelax kama wanavyodai baadhi ya watu.
Akizungumza na African Mishe, Mh Ram alisema kuwa game la muziki limemfanya ajipange wakati wakutoa wimbo na anaendelea na ratiba yake ya kutoa wimbo baada ya miezi na rasmi mwezi Juni au Julai ataachia wimbo wake mpya itakayobeba jina la Nitakukumbuka.
Aidha, Kinyume na kazi yake ya muziki, Mh Ram anatarajia kutangaza lebo yake mpya itakayoundwa na wasanii watatu ambao watakuja kuitambulisha lebo hiyo itakayokuja kwa jina la Wakali African Boys.
Aidha, Kinyume na kazi yake ya muziki, Mh Ram anatarajia kutangaza lebo yake mpya itakayoundwa na wasanii watatu ambao watakuja kuitambulisha lebo hiyo itakayokuja kwa jina la Wakali African Boys.