Mtangazaji uyo anaye fahamika ka jina la Define Mwinyi ambaye ni mtangazaji wa kituo cha radio cha Uvinza Fm kilichopo Kigoma akizungumza na mwadishi wa mishe mishe media amesema sasa ameamua kufanya mziki ili watu waweze kujua kipaji chake kingine amesema kwa upande wa mziki anaomba watu wamfahamu kwa jina la M2define na sasa amesha andaa nyimbo yake mpya inayo itwa Mmama ambayo tayali imesha fanyiwa na video na video hiyo imeongozwa na Director yesteryear poul na muda si mrefu ataiachia iyo kazi kwaiyo anaomba ushilikiano wenu wadau wanao penda mziki mzuri