Kundi nzima ya muziki wa Burundifleva, Alpha Team imeachia wimbo wao mpya ukibeba jina la Gito, kazi hii imetengenezwa na Jigger Beat.
Kuwa wa kwanza kuipakua hapa, kama na wewe ni msanii una well au video yako na unapenda ipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +25775707305.