Msanii wa muziki wa Burundifleva akiwa pia Director wa Akaga Video mwenye makazi yake nchini Kenya, Black Arthur ameachia wimbo wake mpya akishirikiana na Mechack Niyo, wimbo unabeba jina la My Lover.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza na kuipakua hapa, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba+257 75707305.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza na kuipakua hapa, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba