New Audio|Swagg Team+257 ft Mista Champagne - Simbura|Download Mp3 Friday, November 11, 2016 Bagikan : Tweet Kundi lizima la muziki wa Afro-Pop ''Swagg Team +257'' baada ya ukimya wa muda mrefu sasa wametualika kuisikiliza kazi yao mpya ''SIMBURA'' walioshirikiana na Mr Champagne.Ngoma hii imeongozwa na Producer Floris wa F Done It. Tag : Afrika Mashariki, MUSIC AUDIOS, New Audio