Hit maker wa wimbo my Blessing Lover, Jay Fire akishirkiana na Mr Champagne wameachia video yawo mpya ya nyimbo yawo itwayo Karibu.
Leo nimekusogezea video nzuri ya kwake Jay Fire, kama na wewe ni msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305.