MSIMLIAJI: Kuluti MC
Tulipoishia kufungua mlango basi mama akasema nimekuletea zawadi hii mi naingia ndani ila kuna mazungumzo na wewe aliongea huku akinikabidhi mfuko wa rambo nikapikea nikasema ahsante akasema usijali ila kumbuka badae nimesema nina mazungumzo na wewe. Akaondoka na kuingia zake sebuleni sikuamini kama nimepona kwenye ule msala nikatoka nikainia nikamkuta housegirl anatetemeka mwili unamvuja jasho wakati ni msimu wa baridi nikamwambia si ulisema wewe humwogopi mtu? mbona unatetemeka hivyo akajibu kwa kuniuliza swali ameondoka?
Nikamjibu ndio basi akavaa khanga yake moja alokuja nayo akaondoka anabamiza makalio yake makubwa huku akinyata kwa woga akafanikiwa kuingia ndani nikashusha pumzi nzito kisha nikatoka nikaingia bafuni nikajimwagia ili nipate nguvu mana siku ile niligonga watu wawi nikaoga nikatoka nikaingia ndani nikanywa chai nikatoka wakati natoka akawa mama ametokea akanambia sasa yusu tangulia gardeni nakuja tuzungumze sawa eee nikaitikia sawa nikawahi garden kumsubir mwanamke aliyekua sawa na mamayangu nilikaa gadern baada ya mda kidogo yule mama akaja na kuukaa pale akawa anasema yuu siku hizi umekua na mvuto zaidi mwanangu hongera nikamjibu ahsante basi akasema kwanza nataka nikwambie kua kesho nataka tutoke mimi na wewe nimeyamis mambo yako hadi apa tuu najikaza nimekalia shida tuu.
Nikamwangalia alaf nikajisemea moyoni ungejua shuhuli niliyoifanya na housegirl na mwanao happy ungetamani kuzimia kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiiza kinene nikamwambia eeenh mama akazidi kusema lingine naweka msisitizo kwako usije ukaanza kunichanganya na vibinti vya hapa mtaani vichafuvichafu hata kuoga havijui eti ndo ukashare na mimi ntakufanya kitu mbaya utalaani maisha yako yoote nikamwambia hapana mimi siwezi kufanya ivo mamy mimi nakuheshimu sana.
Akasema haya nadhani maongezi yangu ndo yalikua ayo sasa sijui na wewe una la kusema nami nikaitikia nikasema ndio mamy nina jambo ni kuhusu baba alisema ana maongezi na mimi nahisi kama anatuhisi kua tunatembea mimi na wewe. Mama akasema kuhusu ilo usijali badae nitampeleleza usiku atanambia tuu alafu kesho tukienda kujivinjari nitakwambia kasemaje sawa ee? nikamwambia sawa, lakini tuongeze umakini mama mimi namwogopa sana huyu mzee mama akasema toa shaka yuu mimi niko upande wako hakuna kitakachoharibika sawa ee? Nikaitikia sawa nimekuelewa. Basi akanyanyuka na kusema haya kaendelee na mambo yako nikajibu haya, nikainuka na kuondoka zangu nikaingia chumbani kwangu nikajilaza nikiwa na mawazo sana juu ya yale yanayoendelea mule ndani nikawaza fadhira za mzee yule kisha mimi namlipa mapenzi kwa mke wake, mtoto na mfanyakazi wake nikajilaumu sana lakini sikua na jinsi kwani nilikua tayar nmeingia kwenye ulimwengu wa matatizo nikaumia sana.
Nikaona si bora ningebaki kule mtaani maana huku nimefwata matatizo ya mapenzi daaah nafsi yangu ilinisuta sana, nikakumbuka jinsi yule mzee alivonisaidia na kuhakikisha nakua sawa nikahamia kwake leo hii namlipa usaliti. Pia nikawaza juu ya kitu anachotaka kusema na mimi nikajisemea moyoni ka ameshaanza kuhisi hatakua na imani tena na mimi nikajiona mkosaji ninamkosea mzee wa watu ambaye ndiye alikua kama baba kwa kipindi hicho basi nikaamua kumaliza uwingi wa mawazo kichwani kwa kusema yote kwa yote hakuna niliemlazimisha.
Wote wamenitaka wenyewe nikaona huu ni upuuzi na ujinga wa wao wenyewe nikajilaza nikapitiwa na usingizi. Nikalala baada ya kulala nikapitiwa na ndoto nikaota ndoto mbaya sana niliota mzee mwenye nyumba amenifumania na mke wake na amenishikia bastora. Nami namwomba msamaha huku nalia lakini haelewi ghafla akafyatua risasi ikanipiga kifuani nikaanguka ile naanguka nikashtuka na kusema kwa nguvu hapanaaaa! nikiongea kwa sauti kalii hadi nilihisi nyumba yote wamesikia mwili ulikua unatoa jasho mapigo ya moyo yalikua yanaenda mbio sana. Nikaingiwa na woga basi nikaamka nikakaa kitandani kucheki saa nikakuta ni saa 12 jioni na dakika 34.
Nikaamkakwaajili ya kwenda kuhudumia mifugo nikaatoka nikaanza shughuli yangu kumbe wakati nimelala wale watoto wa yule mama walikua wamerudi nlijua baada ya kuona Jane anakuja nilipo ambaye alikua anatabasamu huku anasema kaka yuu vipi umeshindaje? nikamjibu salama tuu basi akasema nilikukumbuka sana kakangu. Nikamwambia mimi pia nilikukumbuka Jane akasema ahsante kisha akasema kaka yuu naomba nikuulize---------------------------------------------------------------------------Tukutane sehemu ya kumi na mbiliITAENDELEA.............!!! TUNAPATIKANA KWA SIMU NO; +25571490303/ Whatsapp HII NAMBA NI KWAAJILI YA USHAULI AU MAONI YUU YA SIMULIZI ZETU

Tag :
lainnya