Ni Disemba 16,2016 ambapo Producer Masterland amefunguka na kuweka wazi ujio wa wimbo wake mpya ''NTUNDEKURE''.
Baada yakufanya vizuri na kibao chake ''MUTIMA'' kilicho tayarishiwa nchini Rwanda mjini Kigali na Producer Pastor P.
Staa huyo akizungumza kupitia akaunti yake ya instagram aliaandika haya:''''Kiukweli kwanza ni wimbo mzuri pili maandalizi ya Audio na video hiyo tayari tumeshafanya ,video imetayarishwa na ma managing director wawili '' Hugues wa NONE FILMS na Kent P wa Kora Entertainment, Audio ipo chini Master Muzik. Na jina la wimbo unaitwa NTUNDEKURE, kwahiyo mashabiki wangu wakae mkao wa kula wakati wowote watapata ladha nzuri tu kwani najua ni kitu gani mashabiki wa muziki wangu wanachokitaka kutoka kwangu''''
Endelea kufyata tovuti yako ya africanmishe.com kwa habari za burudani,michezo,... .