Download Mp3 from African

SIMULIZI YA KWELI. PENZI LA MKE WA BOSI SEHEMU YA PILI.

MSIMLIAJI: Kuluti MC
Tulipoishia
nikashitushwa na
sauti ya honi ikipigwa pale nje nikatoka na kukuta mama na yule mzee wameshikana mikono kwa upendo huku ndani ya garivakiwamo mtoto wao mdogo na ndiye aliyekua akichezea gari kwa kupiga honi mfululizo, nikamsalimia mzee yule akaitikia na kuniuliza nimeshindaje nikajibu ya kua salama tuu, basi wao wakaingia ndani nami nikaingia chumbani kwangu ili nipumzike lakini wakati naingia nikasikia sauti ikiniita kaka Yuu! nikageuka na kumwona ni binti yake boss anaeitwa happy ambae akaniuliza kaka unaenda wapi nikamwambia nataka nilale kidogo ndipo akasema usiende bhana njoo tukae huku gardeni tupigage storey mimi leo sipo zamu kupika.
Kwakua nilikua nimechoka kulala nikaona hii kampany nzuri sana basi tukaingia gadern tukakaa Happy alikua mchangamfu sana na mwepesi wa kumzoea mtu kwa haraka sana kwani palepale alikua ananiuliza maswali kama vile tumejuana siku nyingi nikaifurahia sana kampany yake tulifurahi sana huku akinipa storey kedekede za shuleni kwao nikafurahi sana,giza lilikua tayari limeingia lakini kwa kua ile gadern ilikua na taa za kutosha tuliendelea na storey mimi na happy hadi pale tulipoitwa ndani kwaajili ya kwenda kula, tukanyanyuka pale na happy akanishika mkono niliogopa kidogo kwani yule mzee angeniona sina adabu na mwenye kuparamia mambo ila nikajipa moyo kwa kua happy alikua bado mdogo hivyo mzee asingeweza kunihisi vibaya, tukaingia ndani mama na baba wakafurah sana kutuona tunaingia na happy wakasema umeshapata rafiki sasa.... nikaitikia kwa tabasamu kisha tukaketi na kula kwa mara ya kwanza nilikula chakula kitamu na chenye virutubisho yaani mlo kamili.
Baada ya kula tukaenda kulala ili kuingoja siku mpya asubuhi kulipokucha kila mtu alianza kwa pilika zake ambapo housegirl alikua bize na usafi wa pale mama alikua akiwaandaa watoto awapeleke shule na mzee alikua akijiandaa kutoka basi yule mzee akaniita na kuniambia hapa ndani tuna mifugo sasa kazi yako itakua kuhakikisha mifugo hiyo ina afya njema yani kuilisha akanionyesha mabanda yote na mahali chakula kilipo nami sikutaka kuzubaa nikaanza kazi maramoja. Basi wote wakaondoka pale nyumbani tukabaki mimi na housegirl na mlinzi wa getini.
Baada ya kumaliza kazi housegirl akaniita kunywa chai nikanywa na kurudi chumbani ili nijiandae nioge alafu nipumzike nikaoga wakati natoka bafuni mama naye akawa ndo anafika akaniuliza vipi mbona waoga sasahivi unatoka nikamjibu hapana akasema basi kavae alafu uje kuna sehemu nataka unisindikize mahali kisha akaingia ndani basi nami nikajiandaa fasta nikatoka na kumwambia tayari basi yule mama akasema nitangulie ndani ya gari naye anakuja nikafanya hivyo.
Baada ya mda kidogo yule mama akaingia ndani ya gari na kunambia nihamie siti ya mbele nikatii na kuhamia nilipokaa nikaangalia pembeni na kukuta yule mama kaacha wazi mapaja yake na sehem ya matiti pia ilikua nje sikufanya lolote zaidi ya kumezea mate yule mama akawasha gari tukaondoka njiani yule mama akaawa anazidi kukivuta kisketi chake kuelekea juu huku akiwa ananisimulia mambo mengi ya yeye na mumewe jinsi ambavyo hufanya tendo la ndoa huku akisema mumewe hajui lolote nilishindwa niseme nini kwani kiukweli hakupaswa kunambia yale mambo nikabaki kimya huku nikimsikiliza na nikiangalia kwa wizi sehemu muhimu za mwili wake kama mapaja na matiti yule mama akazidi kusema kama angepata kijana mmoja angemfanyia kila kitu ili naye japo afurahie mapenzi.

.............ITAENDELEA SEHEMU YA TATU ..
Tag : lainnya
Back To Top