MSIMLIAJI: Kuluti MC Tulipoishia upande wa pili ukisema mama happy leo ni ijumaa watoto wanawahi kurudi hivi wanakusubiri hapa shuleni basi yule mama akasema haa mwalimu nakuja na akakata simu kisha akasema hebu tukawafwate watoto shuleni akavaa nguo nami nikapandisha suruali yangu na kuifunga vizuri na kufunga vifungo vya shati langu naye baada ya kujiridhisha kua yuko sawa akawasha gari na kuondoka tukiwa njiani akawa ananiuliza vipi kuhusu ombi lake nitalitimiza au? nilibaki kimya nisijue chakujibu basi yule mama akanambia
nikikubali kuna mambo mengi sana kwaajili yangu nafsi yangu haikua tayari lakini tamaa zilianza kuniingia ukizingatia yule mama alikua kajaaliwa rangi ya ngozi na pia alikua na sura nzuri ukiplusi na pesa ndo kabsa.
Nikiwa sijui chakujibu nikawaona happy na wenzake kwa mbele wakifurahia kuiona gari ya mamayao ikienda kuwafuata tulifika pale tukashuka happy akafurahi sana akanikimbilia na kunikumbatia huku akisema kaka yuu nilikumis nikaitikia kwa kumtolea tabasam la kujilazimisha kwani akili yangu ilikua bado inawaza vituko vya yule mama. Basi baada ya salamu tuliingia kwenye gari sikutaka nikae mbele nikakaa nyuma kabsa ambapo tulikaa mimi na happy zuwena alikaa mbele na wengine katikati mimi na happy tulikaa mwisho ambapo mama akawasha gari na kuanza safari ya kurudi nyumbani.
Njiani floor zilikua nyingi sana watoto wakiongea na mama yao huku happy akiwa ananipigisha floor za kutosha nilikua na furaha kiasi fulani huku nikianza kusahau yalotokea tukiwa bado safarini mara happy akawa amezidisha utani kiasi akawa ananitekenya kwa miguu yake iliyokua inakutana na yangu huko chini nilizidi kuchanganyikiwa pale happy alipokua ananifunulia kifua chake na kunishika mapajani karibu na sehemu ya uasi nikahisi mama atatuona ila kumkemea niakawa nashindwa nikaona bora ningekaa mbele mana huku nyuma nimefuata balaa kwa yule mtoto. Nikamnyoshea kidole kwa chinichini nikimwashiria aache michezo yake akawa kama ameelewa akatulia kidogo.
Nikahisi napagawa mana tayari mama happy alikua ananitaka na happy nae kaanza kuonyesha dalili kama hizo nikaanza kukumbuka maisha ya mtaani lakini sikutamani kuyaishi tena nikajipa moyo kua vyovyotevitakavyokua nikiwa bado nawaza huku wale watoto wakionge na kucheka na mama yao basi nikasikia sauti ya mama ikisema Yuuu vipi mbona mmenyamaza ghafla na shositi ako happy mmeishiwa floor eee mimi nikasema hapana mama naona Happy anatafuta cha kunidanganya hapa basi wote tukacheka.
Tuliendelea na maongezi hadi nyumbani wale watoto wakashuka mimi nikachukua mizigo yangu nikaipeleka chumbani kwangu tukakusanyika sebuleni kwaajil ya luncheon tukala alafu mimi nikaingia kulala ambapo niliamshwa na Jane aliekua anataka nimsindikize sokoni nikaamka nikaoga tukatoka na Jane awoo tunaenda sokoni njiani tulikua tunaongea mambo mengi sana hivyo nikagundua ya kua Jane ana akili ya kiutu uzima sana sijui kwasababu alikua start out born wa yule mama alikua anatoa ushauri wa maisha hakika Jane alikua mtu mzuri sana Tulifika sokoni tukanunua zaga tukarudi nyumbani ila kuongozana na Jane kulinifanya nihisi nimepata mtu mpya katika maisha yangu kwani Jane alikua na sifa zote za kua mke wa mtu nilitokea kumpenda japo heshima kati yangu na yeye ilitawala sana
Tulipofika housegirl akatupokea na kuingia kupika mimi nikaingia mzigoni kutunza afya za wanyama wa mdingi si unajua tena. Usiku ukaingia kiza kikatanda nuru ikapotea mwezi ukapata nafasi ya kujinafasi katikati ya uso wa dunia kama kawaida binadamu wote tulikua tumechoka hivyo kupumzika kwa kulala usiku ule wale watoto walikua wanaangalia tamthiliya ukizingatia ilikua ni weekend mimi niliamua kulala nikapitiwa na usingizi mzito sijui kwasababu nilikua nimechoka sana nikiwa usingizini nikawa naota kua niko na Jane huku nikimweleza nia yangu ya kutaka awe mke wangu wa ndoa tena ndoa takatifu nikiwa katikati ya ndoto nilishitushwa na kelele za mlango wangu uliokua unagongwa ngo! ngo! ngo! ngo! nikaamka na kucheki simu yangu ili nione ni saa ngapi haaah ilikua saa nane na dk 43 usiku nilishituka na kujiuliza nani anagonga mda ule bila kupata jibu niliinuka nikawasha taa na kuukaribia mlango ile nafungua nikamwona------------------------------------------------------------------------------------ Nani alikua anagonga tukutane sehemu ya nne ..

Tag :
lainnya