Download Mp3 from African

SIMULIZI YA KWELI PENZI LA MKE WA BOSS SEHEMU YA SABA

MSIMLIAJI: Kuluti MC
 Tulipoishia tukasikia mlango wa chumbani kwa kina happy tukashituka kidogo mara ikasikika miguu ikikita kuelekea chooni basi happy akasema akirudi atafunga mlango ngoja niwahi basi tukakatisha utamu happy akatoka mbio wakati ameenda nikasikia miguu ikitoka chooni nikachungulia nijue ni nani nikamwona kua alikua ni housegirl basi nikalala hatimaye nikapitiwa na usingizi mzito ambapo nilishtuka asbh kukiwa kumekucha basi nikaamka na kuanza kazi yangu ya kuilisha mifugo ambayo ndo ilikua kazi yangu ya kila siku baada ya kumaliza tukajumuika sebuleni kupata chai na waliokua wanaenda kanisani wakajiandaa wakaondoka basi pale nyumbani tukabaki mimi na housegirl na mlinzi sababu ilikua ni kwamba mimi ni muislam na housegirl alikua mkristo lakini hakua anaenda kanisani basi tukiwa nyumbani wawili housegirl akaanza kunichokonoa eti kaka yuu mimi unanionaje mi nikamjibu nakuonaje kivipi? akasema mimi na happy nani mzuri? mi nikasema wote wazuri mbona basi yule housegirl akasema kaka yuu nosotros unajiona mjanja sana ee kumbe huna lolote nikashtuka nikamwuliza kivipi akasema kwani unadhani sijui kama happy anatokaga usiku kuja kwako? nikashtuka kisha nikamwambia acha utani bhana basi akajibu akasema yuu ujasiri wa mtu hauletwi na mtu bali yeye mwenyewe na kumbuka matendo yanaongea kwa sauti kuliko maneno hivyo usishangae mimi kujua matendo yenu na happy nikamwambia sasa mbona unaniimbia taarabu dada mimi sitoki na happy bhana basi yule dada akasema kuna njia moja tuu itakuweka huru nayo ni ukweli yuu ama sivyo namwambia fazahausi michongo yenu kusikia vilenikaogopa nikajikuta natokwa na maneno sawa kwahiyo nosotros unatakaje dada?
yule dada akacheka kidogo kisha akasema yuu hapo ndo nilipokua napataka na mimi nataka unifanyie kama happy maana bila hivyo hapatosha umu ndani ko kama nosotros uko against na ilo sema ili mi nijue chakufanya basi kusikia vile niliogopa kidogo nikamwambia housegirl usifanye ivo jamani nosotros unajua hapa tuko kwa watu bado unataka tuanze kufanya uwo ujinga mbona mi sikuelewi dada housegirl akacheka akasema ingekua ni ujinga usingefanya hata na happy sasa na mimi nataka nipate raha aliyoipata happy mi nikamwambia nosotros fanya lolote ila mi sikubali ayo mambo basi akasema kama hutaki mbo simpo tuu mi sikulazimishi bhana ila naenda kumchoreshea faza yoye mliokua mnafanya na happy tuone kama nosotros utaendelea kua mjanja mjini hapa kusikia vile nikadata nikamwambia aaah aaah dada tafadhali usiwe hivyo basi akajibu ndo ivo kaa uyatafakari na uchague moja kama kusuka au kunyoa akasimama akaondoka anaelekea ndani huku sehemu za nyuma akitingisha na alikua amejaaliwa alikua anamakalio makubwa kiasi na siku ile alikua kavaa khanga pekee hivyo yale majaaliwa ya Mwenyezi Mungu yalijidhihirisha hakika alikua amejaziajazia hizo si ndo neema za Allah sheikh wangu, utani tu jamani turudi kwenye simulizi yetu basi mimi nikawa namwangalia hadi alipomalizika nikajiinamia na kuanza kuwaza hivi humu ndani wamenigeuza mimi SEX MACHINE??? maana mama yao nshamgonga, happy tayari housegirl ananitaka yote tisa kumi hao wote siwapendi mimi nampenda Jane na tulishaanza kuonyeshana dalili sasa hapa su mahali salama kuishi mimi nikaanza kujiuliza hivi mzee akigundua itakuaje nimemgonga mke wake nimemgonga mwanaye happy na housegirl anataka nitaificha wapi sura yangu mimi akijua yule mzee nikajikazaa kiume nikasema potelea mbali bwana litakalokua na liwe nikainuka niaenda zangu kwa mlinzi kule getini walau nikapige stori mbili tatu nipoteze mawazo wakati nimefika kwa mlinzi mlinzi akasema dogo vipi nikamjibu safi tuu akasema naona mambo yako mwenzangu siku hizi sio mabaya unatoka na gari ya boss unakaa mbele na boss boss anakuendesha una bahati wewe mi nikamjibu hapana bro kawaida tuu mbona mlinzi akasema ila angalia mdogo wangu mjini hapa wanoko wengi kusikia vile nkashtuka nikaanza kuhisi labda bro kuna kitu kahisi nikamwuliza wanoko wanafanyaje bro mbona sikuelewi mlinzi akasema usijali dogo nilikua natania tuu vipi kwani mi nkajibu hamna kitu ila nlishtuka tuu nikadhani broo umeanza kunuhisi vibaya mdogo wako yule mlinzi akasema uwe na amani tuuu mdogo wangu hata usijali sawa eee nami nikamwitikia basi tulipiga floor nhingi sana tukafurahi japo stori nyingi za mlinzi ziliashiria kuna kitu amehisi kuhusu mimi na mazahouse basi akanitisha zaidi aliposema---------------ITAENDELEA SEHEMU YA NANE USIKOSE KUPITIA TOVUTI YAKO HII
 TUNAPATIKANA KWA SIMU NO; +25571490303/ Whatsapp HII NAMBA NI KWAAJILI YA USHAULI AU MAONI YUU YA SIMULIZI ZETU
Tag : lainnya
Back To Top