Daraja la Cadet ya vijana wasio zidi umri wa miaka 17 tarafani Buyenzi imeendelea wikii hii na mechi zimepangwa kama ipasavyo, Olympic imeshinda kufanya vizuri dhidi ya Mukukwe kwa bao moja bila na timu ya Green Tea imeitiririkia mvua ya ma bao sita bila timu ya Amebu.
Matokeo kamili ya daraja la Cadet Buyenzi:
Jumamosi, 19/11
- Olympic 0-1 Mukukwe
- Green Tea 6-0 Amebu
- Peace together with Love 2-2 Buyenzi Stars
- PVP 3-0 Etoil De Dieu
- The Young blood brother 2-0 L'Avictoire
Dumapili, 20/11:
- Fina Racing 1-2 Pepinier
- Cinq sur Cinq 1-2 T.J Nikson
- Mninga 0-5 Hawa FC