Download Mp3 from African

New Audio [ Chris Biz _ Jewe ] download mp3

Msani  Chris Biz Baada ya kufanya vizuri na nyimbo yake Romantic remix akishirikiana na mwana dada mrembo Clementine iliyo mpa sifa nyingi nchini Burundi, ameachia nyimbo nyingine itwayo Jewe chini ya mikono ya producer Ami Baso pande za Swagger Reccord.

Isikilize nyimbo nzuri ya msanii Chris Biz hapa, endapo nawe ni Msanii unapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +257 75707305.
Back To Top