Download Mp3 from African

New Audio|TNC ft Millz - Don't Say Sorry|Download Mp3

Fabizzo Millz akishirikiana na TNC wameachia ngoma yao mpya iitwayo ''Don't Say Sorry'' .
Millz kwasasa amekua tishio kwenye miondoko ya R&B nchini Republic of Burundi baada tu ya kufanya vizuri na kibao chake ''Kwangu bado''.
Don't Say Sorry ipo chini ya Producer Zacky Classic ndani ya Mo Record.
Isikiliza na Upakue hapa:Don't Say Sorry past times TNC ft Millz
Back To Top