Download Mp3 from African

Producer wa Bongo Record P-Funk Majani adhamiria kumrudisha Cpwaa kwenye chati

Producer mwenye mchango mkubwa katika mapinduzi ya Bongo Flava, P-Funk Majani anasema ‘mwenye muziki wake anarudi.’ Na kwakuwa tunajua ni hits nyingi kiasi gani zilizotoka kwenye studio yake ya Bongo Records, hiyo si kauli tunayoweza kuitilia mashaka.

Miezi ya hivi karibuni Majani ameonekana kutumia muda mwingi zaidi kwenye studio yake kutengeneza nyimbo mpya. Miongoni mwa kazi anazozipika ni za rapper Cpwaa ambaye amekuwa kimya kwa takriban miaka miwili na kitu sasa.

Producer huyo ameapa kumrudisha tena kwenye chati rapper huyo aliyewahi kuhit na nyimbo kama Problem, half dozen In The Morning, Action na zingine.

“Day ii @cpwaa nailed it! This man child got No chill, I am bringing him back! Stay tuned #BongoRecords #DreamBig #KiumeniSoundTracks #MwenyeMzikiWakeAmerudi,” aliandika Majani kwenye Instagram hivi karibuni.

Naye Cpwaa amemuelezea Majani kama kaka na mwalimu wake na kwamba kufanya kazi naye tena ni heshima kubwa. “Again it was a proficient day! #BongoRecords PFunk @majani187 #TheGodFatherOfBongoFlavaMusic is to a greater extent than than a Music Producer! He is a Mentor, a Brother, in addition to Family. Before the session nosotros went through a lot of ongoing principal flow shiit, this blood brother is doing his homework.i continue learning everyday from him #Discpline is disclose 1thing when it comes to survive alongside him.#TheComeBackOfCpwaa.”
Tag : lainnya
Back To Top