Msanii Dj pro kutoka Republic of Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini amefunguka kuhusu jambo inayo wasumbua wadau wake kuhusu kingilio ya demo yake inayo subiriwa na watu wengi nchini Burundi. Decemba 17, 2016 ni tarehe inayo subiriwa na mashabiki wengi kwa kushuhudia bonge la demo la msanii Dj Pro huku baadhi ya wadau wameanza kudai na kusema kuwa kiingilio ni ghali tofauti na demo wanazo zowea nchi hapo.
Africanmishe imejaribu kutafuta dawa ya jambo hilo huku muhusika mwenyewe Dj Pro amefunguka nakusema kuwa Republic of Burundi inatubidi tubadilike ili tuwe sambamba na nchi zingine.
''Burundi tungali na kitu cha kujizarau sana na kwenye manufacture ya muziki icho sio poa kabisa, uwezi kuitwa star kila siku unafanya demo ya elfu moja. Fanya kitu kikubwa ndio uitwe star''.
Dj Pro amewahaidi mashabiki wa Republic of Burundi Flava kuwa atakaye kosa kwenye demo hiyo basi hasitegemeyi kuona demo kubwa tena nchini pia surprlise zitakuwepo nyingi sana.
Tuwakumbushe kuwa kwenye tiketi zote watapata chakula na vinywaji, sehemu ya VIP kiingilio ni 50.000 za marundi huku pakiwa hofa ya chakula na vinywaji na upigaji wa Picha na ma star walio alikwa, sehemu ya kawaida kiingilio ni 25.000 za marundi pia hofu ni chakula na vinywaji, zaidi ya hayo itakuwa ni surprise kwa mjibu wa Dj Pro.