
Msanii Bidondo wa Burundifleva ameachia wimbo wake mpya itwayo Usile Pekee, kwenye wimbo huu alipewa nguvu zaidi kwa kushirikiana na msanii Docter Claude . Kazi hii imetengenezwa pande za Studio Zenges Record chini ya mikono ya Producer Chidi Pro.
Kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwa namba +257 75707305.