Download Mp3 from African

B-Face-La différence (Official Music Video)|Mp4 Download


Msani wa muziki B-Face ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ''LA DIFFERENCE''.
Kwenye wimbo huu Rapper B-Face on The Flow amejaribu kuonesha utofauti wa Hip Hop ya Republic of Burundi na ya nchini Rwanda.Nakusema kwamba Hip Hop ya BURUNDI nibora zaidi kuliko ya Rwanda.
Kwasasa hitmaker huyo wakibao ''SISOMEKI'',B-FACE yupo mjini Dar-es-Salaam kikazi zaidi za muziki.

Je ni Kweli Hip Hop ya Republic of Burundi ni bora zaidi kuliko ya Rwanda ?
Tazama mwenyewe video hapa utanipa jibu.                                                  
Back To Top