Msanii wa muziki wa Burundifleva A-Z baada ya kupata tuzo ya Sanistar Award kupitia wimbo wake Jeux de Passe pia aliteuliwa kama mwanamuziki bora mjini kati katika mashindano hayo.
Msanii huyo anatarajia kuachia wimbo wake mpya itakayobeba jina la Nyange katika Studio Master Music chini ya mikono ya producer pia mwanamuziki MasterLand ambae ndie producer wake.