Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni Yemi Alade anasema hana beef na wasanii wenzake wakubwa kama Tiwa Savage, Seyi Shay na Chidinma.
Yemi Alade pia amefunguka kuhusu urafiki na Tiwa Savage nakusema ‘Sisi sio marafiki’ na pia mimi nimekuwa kwenye muziki kabla hata Tiwa Savage hajaja Nigeria.
Yemi anasema “Nikisikia nyimbo za wsanii wenzangu nacheza na kupost kwenye Snapchat yangu, nasema sio rafiki yangu sababu sijui chakula anachopenda au hata rangi yake anayoikubali zaidi“.
Tag :
lainnya