Kundi la Amahunja Muzik ya mkoani Gitega ikishirikiana na kundi nzima la Irimbo Vocals ya mkoani Ngozi kutoka Burundi, wameachia wimbo wao mpya itwayo Kwirina. Kazi hipo chini ya mikono ya producer Robert Pro pande za Hope Talent Studio.
Kama nilivyo wafahamisheni siku za nyuma kama tunatarajia kupata kazi kubwa kutoka kwa kundi mbili za mikoa miwili tofauti, bila shaka kazi hii nzuri imeingia hapa kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi No +257 75707305.