Msanii Busta Bruce akishirikiana na Richard wameachia nyimbo yawo mpya itwayo Nu Nyemerera.
Leo nimekusogezea nyimbo nzuri ya kwake Busta Bruce kutoka Burundi, kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +257 75707305.