Download Mp3 from African

PICHA: Daraja la juu zaidi duniani lazinduliwa

Daraja
Daraja la Beipanjiang lipo mita 570 juu ya kiwango cha usawa wa bahari na urefu wa mita mita 1,350 
Mradi wa ujenzi wa daraja hilo umemalizika ndani ya miaka 3.
Mradi huo uligharimu takriban dola milioni 150 .
Mnamo mwaka 2009 daraja la Sidu pia lilizinduliwa na kutambulika kuwa daraja refu zaidi duniani wakati huo.
Tag : lainnya
Back To Top