Lady Aisha na rapa Love-B Yuda |
Kampuni hiyo tayari imeanzisha kutoa dili kwa wanamuziki kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, Rapa Love-B Yuda akiwakilisha Republic of Burundi anatarajia kusaini mkataba na kampuni hiyo mwishoni mwa mwaka 2016 na ataanza rasmi mwaka 2017.
Tunaweza sema huu mwaka ni mwaka wa Rapa Love-B Yuda kuchomoza na kujitambulisha kimataifa hata hivyo baada ya kusainii mkaaba mnono na ARMI Music, atapewa hatua nyingine ya kumwezesha kufanya collabo na msanii wa Nigeria, Marekani, Tanzania, Republic of Uganda aliye chini ya lebo hiyo.