Wakati picha ikimuonesha muigizaji wa kike wa Republic of Burundi Movie Media, akiolewa na Franck na tetesi ikizagaa kila kona ya mji, kuhusu arusi ya Media na Franck, baada ya hayo kuna picha nyingine inamuonesha mrembo Media amenasa ujauzito wa kijana Franck.
Licha ya mpenzi wa Franck kuinadi picha ya mimba na arusi ya muigizaji huyo mtandaoni, na kusema kuwa Media amemuibia na amekuja kuaribu mapenzi yake na Franck.
Media ameibuka na kudai kuwa picha zote zikimuonesha kuwa ameolewa na akiwa na ujauzito sio ukweli kama wanavyojua na huyo mpenzi wa Franck bali ni filamu walio wakiigiza mkoani Bubanza, kwa mujibu wa Media amesema kuwa ukweli utajulikana shortly na mtu wa kwanza kushuhudia filamu hiyo itakapo toka ni mpenzi wa Franck.
Tuwafahamishe kuwa usiano kati ya Franck na mpenzi wake sio nzuri baada ya picha hizo kuzagaa mtandaoni huku mpenzi wa Franck akidai kuwa ameibiwa bali kwa mujibu ya Media amesema kuwa ni filamu walikua wakiigiza na shortly itakuwa sokoni.