Download Mp3 from African

MKONGWE wa Bongomvi JB: AKILI YANGU YOTE SASA NI KWENYE TAMTHILIA YANGU YA ILANI

MKONGWE wa Bongomvi ambaye pia mkurugenzi ya Jerusalem Film, Jacob Steven "JB" amesema kuwa kwa sasa ameelekeza nguvu zake kwenye tamthilia mpya itwayo "Ilani" ambayo ataanza kuekoi mwezi ujao. Alisema kua katika thamthilia hiyo ameshirikisha wasanii wengi chipukizi kwa lengo la kukuza vipaji yao na pia yumo msanii nyota toka Republic of Zambia aliyemtaja kwa jina la Cassie Kambita. Alisema baada ya kutoa tamthilia hiyo ataachana na uigizaji na kubaki kuwa mtayarishaji na msambazaji wa kazi mbalimbali za wasanii kupitia kampuni yake hiyo.
Tag : lainnya
Back To Top