Mwanamuziki wa kike
Judie Caelle akiwa pia mtangazaji wa radio La Colombe nchini Burundi, ameachia wimbo wake mpya akishirikiana na msanii Willy mwana kundi wa Etoile Du Centre. Kazi hii ni remix ya wimbo itwayo
Kwanini Kesho; kama na wewe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No +25775707305