Download Mp3 from African

Picha: Kitendo cha Ridhiwani Kikwete kuonekana akimfumua nywele bintiye chawavutia wengi

Kitendo cha Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kuonekana katika picha akimfumua nywele bintie kimewavutia mashabiki wengi katika mitandao ya kijamii.
Kitendo
Ridhiwani akiwa na bintiye
Mwanasiasa huyo kijana ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameonyesha kuwa karibu zaidi ya familia yake kitendo ambacho kimewavutia vijana wengi kupitia mitandao ya kijamii.
Jumatatu hii mbunge huyo alipost picha akimfumua nywele bintiye na kuandika “home manage Fatherhood duty piece watching H.E Donald Trump taking Oath of the Office”.
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao.
mtwizda
Hahaha nimeipenda kweli.kuzaliwa pwani raha ni upendo tuuuuuuuu
senator_caro
@queenminja22 mtt t rais anafumua mwanae nywele ww hata kumfungia mtt kiatu hufungi.
Mandarymandary
Sawa wa jina …hiyo imekaa vizuri…hata mimi nawasukaga…maana Allah kanipa wadada tupu…

danny_mhando

Inspiration to all father’s out at that spot ! It does non wound been doing that to your tyke from fourth dimension to fourth dimension coz that Build’s fifty-fifty greater dear of all @ridhiwani_kikwete.
jeffrymes17_tz
Unajua majukumu yako kama baba wa familia na ninachopenda unajua kusimama katika majukumu yako ktk mazingira to faut is inwards an if inwards za mengi kiongozi wangu
nafuuelectronics_supplier
Ahahahaha saf wewe mdasalama master unatisha hapo mtoto anakuona ww wathaman sana kuliko chochote
Tag : lainnya
Back To Top