Download Mp3 from African

Mke wa msanii wa muziki Marlaw, Besta wiki iliyopita amejifungua salama mtoto wa tatu wa kike.

Muimbaji
Muimbaji huyo ambaye yupo kimya kwenye muziki wa muda mrefu amesema alijifungua Novemba 10 mwaka huu.
“Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia kupata mtoto wangu wa tatu salama tenth November wiki iliyopita. #NiBabygal #BabyBrence #BabyAngelina Angelina ni jina la bibi upande wa baba,” aliandika Besta kupitia instagram yake
Mapema mwaka jana muimbaji huyo awaahidi mashabiki wa muziki wake kuachia kuachia albamu lakini hali imekuwa sivyo kama alivyoahidi.
Tag : lainnya
Back To Top