Msanii nyota kutoka Republic of Burundi anaezidi wakilisha vizuri Republic of Burundi nchini Canada kwa tamasha sehemu mbali mbali kama Saint Hubert, jijini Motreal pia Ottawa , Papa Fololo ameachia nyimbo yake mpya itwayo Mimi Ni Wako.
Isikilize hapa nyimbo nzuri inayojaa mashahiri mazuri ya mapenzi, endapo nawe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No+257 75707305
Isikilize hapa nyimbo nzuri inayojaa mashahiri mazuri ya mapenzi, endapo nawe ni msanii unapenda kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye No