Loyrah (Rahma) ni mtoto wakike wa msani Lolilo ambae aliza na Channy Queen ,mtoto huu anaumri wa myaka kuni(10).
Staa huu wa Republic of Burundi Lolilo ameamua kuingiza kwenye game la muziki mwanae Loyrah na kwasasa Loyrah ameachia wimbo wake wa kwanza kabisa uitwao ''Incomplete''.
Ngoma hii imetengenezwa na Producer Soprano ndani ya African Touch Muzik.
Isikilize na upakuehapa: Incomplete yesteryear Loyrah
Tag :
lainnya