Msanii wa nyimbo za injili Kezzo Ildephonse kutoka Republic of Burundi anaetamba na nyimbo ya "Nakuja Kwako", anatarajia kuachia kolabo amefanya na mwana hip hop Tresor Shuja muimba nyimbo za injili kutoka pia Burundi, nyimbo itakuja kwajina la "OYA" chini ya mikono ya Producer Pichen.
Akizungumza na Afrianmishe, muimba nyimbo za injili Kezzo amesema kuwa amemfahamu Tresor Shuja tangia muda mrefu na kuongeza kuwa Tresor Shuja ni mwana hip hop mkubwa mwenye kipaji kikubwa cha kuimba, hivo amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kupata maneno ya kuwaelimisha katika maisha wanao amini kuwa Mungu anaweza.
Aidha, Kezzo amesema kuwa mwaka wa 2017 utakuwa ni mwaka wakufanya mabadiliko makubwa katika muziki wake wa Gospel kwa kuachia kazi nzuri ambazo zitawakonga nyoyo mashabiki wake.