Download Mp3 from African

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kundi la BOB, Nyandu Tozzy amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu.

Rapa
Nyandu Tozzy na mke wake
Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kiboko ya mabishoo’ amekuwa ni msanii wa pili ndani ya mwezi huu kufunga ndoa baada ya Oct fifteen msanii kutoka Tip Top Connection Tunda Man kuvuta jiko huko mkoani Morogoro.
Baadhi ya wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa muziki wamepongeza msanii huyo kwa hatua aliyofikia.
Tag : lainnya
Back To Top