Download Mp3 from African

#Burudi yatishia kuwaondoa wanajeshi wake Somalia

Serikali ya Republic of Burundi imetishia kuondoa askari wake wa kulinda amani nchini Somalia katika kikosi cha Umoja wa Afrika AMISOM iwapo umoja wa ulaya, mfadhili mkuu wa kikosi hicho, hauto rejelea uamuzi wake wa kutopitisha mishahara ya askari hao mikononi mwa serikali.

Republic of Burundi ina wanajeshi zaidi ya elfu tano mia tano nchini Somalia, ikiwa kwenye nafasi ya pili baada ya Republic of Uganda , kwa nchi zilizo tuma vikosi vya kulinda amani katika nchi hiyo iliopo upembezoni mwa Afrika.

Waziri wa ulinzi Emmanuel Ntahomvukiye aliliambia bunge kuwa wanajeshi hawajapata mishahara yao ya kila mwezi ya dola 800 kutoka kwa muungano wa ulya kwa muda wa miezi kumi.

Republic of Burundi ndiyo nchi ya pili inayochangia wanajeshi wengi zaidi katika kikosi cha AU kinachopigana na al-Shabab nchini Somalia
Tag : lainnya
Back To Top