Download Mp3 from African

Mahakama yatoa kibali Tundu Lissu akamatwe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kutokana na kushindwa kufika mahakamani hapo kusikiliza keshi yake.Mahakama
Hati hiyo imetolewa leo(Alhamisi) na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wakili wa Serikali, Patrick Mwita kuomba mahakama ifanye hivyo.
Pamoja na kwamba mdhamini wa Lissu aitwaye Robert Katula kueleza kuwa Lissu yuko Mwanza kwa ajili ya kesi nyingine hakimu Sima alitoa kibali kumkamata.
Tag : lainnya
Back To Top